Mkewe Rais atoa wito wa juhudi za kuangamiza Fistula
Mkewe Rais Bi. Margaret Kenyatta ametoa wito wa kuwepo juhudi Makhsusi za kuangamiza ugonjwa Fistula, akisema mwanamke yeyote aliye na tatizo hilo anapaswa kutibiwa haraka ilikufurahia hadhi yake katika jamii....