Raia ya Marekani washinikiza sheria mwafaka za kumiliki bunduki
Maelfu ya waandamanaji wamejitokeza katika maeneo mbalimbali nchini Marekani ili kushinikiza kutolewa kwa sheria mwafaka zaidi za kumiliki bunduki, ili kudhibiti mauaji ya kiholela, ambayo...