Sharks yainyofoa Mathare United 6-0 huku pia Bandari na Homeboyz wakisajili ushindi ligi kuu FKF
Kariobangi Sharks imewatitiga Mathare United mabao 6-0 katika mojawapo ya mechi tatu za ligi kuu FKF zilizosakatwa Jumapili. Felix Oluoch alipachika mabao 3,Erick Mmata mawili...