Maendeleo ya wanawake kuadhimisha miaka 70 katika maeneo yote manane nchini
Shirika la maendeleo ya wanawake(MYWO) limepanga kuadhimisha miaka 70 tangu kubuniwa ,huku sherehe hizo zikipangwa kuandaliwa katika maeneo manane ya humu nchini yaliyokuwa mikoa ya...