Ruto apaswa kushirikiana na Rais Kenyatta kubeba lawama za serikali asema O’mogeni
Seneta w akaunti ya Nyamira Okong’o O’mogeni amemshutumu naibu Rais William Ruto kwa kumkashifu Rais Uhuru Kenyatta kutokana na changamoto zinazokumba serikali ya Jubilee,badala yake...