Jeshi la Burkina Faso laahidi kurejesha utawala wa kikatiba
Kiongozi mpya wa jeshi nchini Burkina Faso ameahidi kurejesha utawala wa kikatiba. Kiongozi huyo Lutena kanali Paul-Henri Damiba aliongoza kundi lililomwondoa mamlakani rais Roch Kaboré siku ya jumatatu. Alimlaumu rais huyo kwa...