Utafiti: Kenya huchagua tumbaku hatari Licha ya kuwepo tumbaku salama

Kundi la utafiti kutoka kitivo cha mafunzo ya utabibu cha chuo kikuu cha Nairobi kimegundua kwamba nchi hii inachagua tumbaku hatari za kuvuta na kutafuna zinazolevya, licha ya kuwepo tumbaku salama sokoni.

Also Read
Wanasiasa 25 Wapatiwa "Red Card"

Ripoti mpya kuhusu hatari za matumizi ya tumbaku za kutafuna na miraa humu nchini ndio utathmini wa kwanza wa kina kuhusu hatari za kiafya za tumbaku za kiasili na zile za kutafuna zinazopatikana humu nchini.

Also Read
Wakenya wahimizwa kufanyiwa uchunguzi wa mapema wa ugonjwa wa Saratani

Mtafiti mkuu wa ripoti hiyo Dkt. Michael Kariuki, anasema utafiti huo unalinganisha hatari za tumbaku za kiasili na tumbaku za kutafuna zinazolevya ambazo hutumiwa na Wakenya ambazo zinapatikana kwa njia halali na kwa njia ambazo hazijathibitiwa.

Also Read
Kliniki ya Saratani yazinduliwa katika hospitali ya mafunzo na Matibabu ya Kakamega

Utafiti huo ulibaini kuwa wale wanaotumia bidhaa zenye nicotine ambazo zimethibitiwa wamo kwenye hatari ndogo zaidi ya kuathiriwa na kemikali zinazosababisha ugonjwa wa saratani.

  

Latest posts

Dereva na Makondakta wawili watiwa nguvuni kwa kukiuka sheria za trafiki

Tom Mathinji

Watu wanne zaidi wameambukizwa Covid-19 hapa nchini

Tom Mathinji

Matabibu wataka Uchunguzi wa mipakani kuimarishwa kuzuia kuenea kwa Ebola

Tom Mathinji

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi