Virgil Van Dijk kukosa kipute cha Euro kwa timu yake ya Uholanzi kutokana na jeraha

Beki wa kati wa klabu ya Liverpool Virgil van Dijk amejiondoa kushiriki fainali za kombe la Euro baina ya Juni na Julai mwaka huu kutokana na jeraha la mguu alilopata Oktoba mwaka uliopita.

Also Read
Mashabiki wa Uingereza wazuiwa kusafiri hadi Rome kwa robo fainali ya Euro dhidi ya Ukraine

Mwanandinga huyo aliye na umri wa miaka  29 na ambaye ni kapteini wa Uholanzi , ametangaza  kuwa hatashiriki michuano ya Euro hukua akianza matibabu ya awamu ya mwisho  na kuongeza kuwa umekuwa uamuzi mugu kwake ila hana budi .

Dimba la Euro linashirikisha mataifa 24 ya ulaya litaandaliwa kati ya Juni 11  na Julai 11 mwaka huu katika miji mbali mbali ya uropa.

Also Read
Stade Malien wahifadhi taji ya ligi kuu ya Mali
  

Latest posts

Police Fc washerehekea kurejea ligi kuu baada ya mwongo mmoja kwa dhifa

Dismas Otuke

Sportpesa kurejesha ufadhili michezo nchini Kenya

Dismas Otuke

Vidosho wa Kenya wapigwa dafrao na Msumbiji mashindano ya kikapu Afrika

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi