Zaidi ya vijana 500 wa Suba South wanufaika kwa mipira na sare za kuchezea

Timu 20 kutoka eneo bunge la Suba Kusini zilipokea mipira na sare za kuchezea Jumatano kutoka kwa wakfu wa SportPesa.

Also Read
Kenya Morans wajikaza kisabuni lakini waambulia kichapo dhidi ya Senegal

Timu hizo zilipokea msaada huo kutoka kwa mradi wa Kits For Africa ulio chinibya wakfu wa Sportpesa.

Also Read
Shirikisho la soka la wasioskia lapigwa jeki na SportPesa
Meneja wa timu ya River Soccer Fc akipokea zawadi ya mipira na vifaa vya kuchezea kutoka kwa mwakilishi wa Wakfu wa Sportpesa

Msaada huo ulijumuisha mipira ya soka,sare za kuchezea na bibs za kufanyia mazoezi huku zaidi ya chipukizi 500 wakitatajiwa kunufaika.

Also Read
George Karanja ashinda shilingi milioni 40 katika Jackpot ya Betsafe

Kiongozi wa jamii hiyo Stephen Sangira, alishukuru msaada huo , akisema utasaidia kuinua vipaji.

  

Latest posts

Atlas Lions ya Moroko yaiparuza Ubelgiji Kombe la Dunia

Dismas Otuke

Costarica yawazima Japan Kombe la Dunia Qatar

Dismas Otuke

Wabunge wa Kenya wawakwatua Wabunge wa Tanzania mabao 3-1

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi