Zaidi ya wanawake 40 wahudhuria Seminaa ya Nock

Seminaa ya siku mbili ya kamati ya  Olimpiki nchini Nock ilianza leo kwa wanawake walio katika usimamizi wa michezo nchini.

Seminaa hiyo iliyoanza Jumatano ,itakamilika Ijumaa huku wanawake kutoka mashisiriisho yanyoshiriki michezo ya jumuiya ya  madola na Olimpiki wakihudhuria.

Also Read
Wakenya wote Cheruiyot,Simotwo na Kipsang watinga semi fainali ya mita 1500

Mafunzo hayo yanalenga kuwapa washirki mbinu bora za usimamizi  ,sera pamoja na kuongeza uelewa wa haki za akina dada michezoni .

Malengo makuu ya seminaa hiyo ni kuongeza idadai ya uwakilishi na ushiriki wa akina dada katika michezo kupitia usimamizi na uchezaji .

Also Read
Sebastien Ogier atoa msaada wa shilingi milioni 2 nukta 5 kwa hifadhi ya watoto ya Nakuru na ile ya wanyama ya Olpejeta

Maafisa wakuu serikalini na wataalamu wa michezo wataongoza mafunzo hayo Mkurugenzi  wa shirika la Sports Connect Africa, Cynthia Mumbo na  meneja wa mauzo ya kidigitli kutoka kampuni ya Saafaricom  Wangui Kibe,Sarah Ochwada, ambaye ni mwanamke wa kwanza mweusi  kuwa na cheti cha shahada ya uzamifu  katika somo laInternational Sports Law, na Kapteni wa timu ya raga ya Kenya kwa wanawake saba upande Kenya Lioness miongoni mwa wengine.

Also Read
Mali waipakata Burkina Fasso 1-0 CHAN

 

  

Latest posts

Tusker kushikana mashati na Gor Mahia mechi ya kufungua pazia la msimu kuwania kombe la supa

Dismas Otuke

Isabella Mwampambo mkuzaji vipaji vya soka Upendo Friends Sports Academy mjini Arusha Tanzania

Dismas Otuke

Shujaa yashindwa fainali ya kombe kuu na Afrika Kusini 5-38 Vancouver 7’s

Dismas Otuke

Tovuti hii inatumia kuki kukuhudumia vyema. Tafadhali kubali kupokea. Kubali Fahamu Zaidi