Rais Uhuru awatuza washindi wa michezo ya Olimpiki

Rais Uhuru Kenyatta amesema serikali itafanya kila juhudi kuhakikisha kuwa talanta za wanamichezo wa humu nchini zinakuzwa kwa kuwapa nafasi ya kuzitumia na pia kuwamotisha kwa matokeo wanayoandikisha. Rais Kenyatta, aliyeiandaa timu iliyotwaa ubingwa kwenye michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020, katika ikulu ya Mombasa, aliiamuru wizara ya michezo na washikadau wote kuhakikisha kuwa talanta za wanamichezo wa humu nchini zinatambuliwa na kukuzwa ndiposa taifa hili liwe na wanamichezo wengi.

  

Latest posts

Vihiga Queens advances to finals of the inaugural FKF Women’s Cup

KBC Videos

Uganda to take on Rising Starlets at FIFA U20 Women World Cup Qualifier

KBC Videos

Police FC congratulated after qualifying for FKF Premier League

KBC Videos

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More