Home Podcasts Matukio ya Taifa: Kenya Kwanza yapendekeza mazungumzo na Azimio

Matukio ya Taifa: Kenya Kwanza yapendekeza mazungumzo na Azimio

IGAD

Upande wa Kenya Kwanza katika kundi la mazungumzo ya maelewano umependekeza kufufuliwa upya kwa mazungumzo na upande wa Azimio one Kenya.

Kundi hilo likioongozwa na mwenyekiti mwenza George Murugara lilikariri hitaji la kurejelewa kwa mazungumzo hayo kwa matumaini kwamba yatalainisha maswala tete ikiwemo gharama ya maisha nchini pamoja na uundwaji wa tume mpya ya uchaguzi.

Channel 1

Website | + posts
kiico