Home Podcasts Matukio ya Taifa: Maafisa wa polisi kuondolewa barabarani

Matukio ya Taifa: Maafisa wa polisi kuondolewa barabarani

Maafisa wa polisi wanaoweka vizuizi barabarani wataondolewa kuanzia Novemba mosi mwaka huu, maafisa hao watasambazwa kote nchini ili kusaidia kuimarisha doria na kuhakikisha sheria na utulivu.

Jaji mkuu Martha Koome amezindua rasmi mfumo mpya wa kuendesha na kuweka stakabadhi mahakamani almaarufu (AJS) katika kaunti ya Samburu kama hatua ya kurahisishia wenyeji huduma za mahakama.

Channel 1

Website | + posts
kiico