Home Podcasts Matukio ya Taifa: Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kupokea HELB moja kwa moja

Matukio ya Taifa: Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kupokea HELB moja kwa moja

0

Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini sasa wataanza kupokea mgao wao wa HELB moja kwa moja kinyume na awali walivyokuwa wakizipokea kupitia vyuo vikuu; watu wasiojulikana wamevamia familia moja na kumnajisi msichana wao wa umri wa 14 katika kijiji cha Kajoro kaunti ndogo ya Namable huko Busia.

Website | + posts