Channel 1
Home Tags Zinga

Tag: Zinga

Zinga: Waziri wa Utalii Peninah Malonza ajadili Siku ya Kiswahili Dunia

0
Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni UNESCO tarehe 23 mwezi Novemba mwaka 2021 lilitangaza rasmi tarehe 7 Julai ya kila...

Zinga: Robert Alai atetea nyongeza ya mshahara kwa wawakilishi wadi

0
Wawakilishi wadi humu nchini wanalalamikia nyongeza ya mshahara wao ambao wanadai hautoshi. Baadhi ya Viongozi hawa vile vile wamesitisha vikao vyao kudai maslahi yao huku wakitaja pendekezo la nyongeza la shilingi 10,000 kutoka kwa tume ya kuratibu mishahara nchini SRC kama kejeli, Hii leo tunaye mwakilishi wadi wa Kileleshwa bwana Robert Alai kuweka wazi swala hili, Mbona wawakilishi wadi wadai nyongeza ya mshahara wakati gharama ya maisha ipo Juu?

Zinga: Edward Mwasi asihi Wakenya kuzingatia masomo ya historia ya nchi

0
Mkurugenzi wa shirika la Kenya Yearbook Editorial Board Edward Mwasi asema Wakenya wanafaa kuzingatia masomo ya historia ya nchi kama njia mojawapo ya kuhakikisha...

EDITOR PICKS

Skip to content