Home Podcasts Zinga: Robert Alai atetea nyongeza ya mshahara kwa wawakilishi wadi

Zinga: Robert Alai atetea nyongeza ya mshahara kwa wawakilishi wadi

0

Wawakilishi wadi humu nchini wanalalamikia nyongeza ya mshahara wao ambao wanadai hautoshi. Baadhi ya Viongozi hawa vile vile wamesitisha vikao vyao kudai maslahi yao huku wakitaja pendekezo la nyongeza la shilingi 10,000 kutoka kwa tume ya kuratibu mishahara nchini SRC kama kejeli, Hii leo tunaye mwakilishi wadi wa Kileleshwa bwana Robert Alai kuweka wazi swala hili, Mbona wawakilishi wadi wadai nyongeza ya mshahara wakati gharama ya maisha ipo Juu?

Website | + posts