Home Podcasts Matukio ya Taifa: NTSA yafurahia tangazo la serikali la kuondoa vizuizi vyote...

Matukio ya Taifa: NTSA yafurahia tangazo la serikali la kuondoa vizuizi vyote barabarani

CS Transport Kipchumba Murkomen

Kamati ya mazungumzo ya uwiano wa kitaifa kupata mwelekeo wa mazungumzo yake jumatano ijayo; hofu ya mashambulizi yaeendelea kutanda eneo la kaskazini mashariki mwa Kenya: and mamlaka ya usalama barabarani NTSA yafurahia tangazo la serikali la kuondoa vizuizi vyote barabarani.

kiico
Previous articleBusiness Weekly: Kenya and Indonesia sign trade agreements
Next articleRuto: Industrial parks will unlock economic potential of counties