Home Podcasts Matukio ya Taifa: Wazee wa Nyumba Kumi waitaka serikali kuwalipa

Matukio ya Taifa: Wazee wa Nyumba Kumi waitaka serikali kuwalipa

protests

Gavana wa Kaunti ya Kisumu aomba jamii za mpakani Sondu kustisha ghasia na kudumisha amani; Ajenda ya mazungumzo ya maridhiano kati ya Kenya kwanza na Azimio la umoja inatarajiwa kubainika wazi kufikia mwishoni mwa wiki hii; Wazee wa nyumba kumi waitaka serikali kuwalipa kwa kazi wanayoifanya.

Channel 1
Website | + posts
kiico