Home Podcasts Matukio ya Taifa: Viongozi wa dini chini wametaka kujumuishwa kwenye mazungumzo ya...

Matukio ya Taifa: Viongozi wa dini chini wametaka kujumuishwa kwenye mazungumzo ya maridhiano

Azimio co-principal and Wiper leader Kalonzo Musyoka addressing the media (File)

Viongozi wa dini chini wametaka kujumuishwa kwenye mazungumzo ya maridhiano yanayosubiriwa kuanza juma lijalo. Baraza la makanisa nchini,na lile la maskofu wa kanisa katoliki na pia baraza la wahubiri wakiislamu, wametaja uhaba wa ajira, utangamano wa taifa na kuboreshwa kwa huduma za serikali za kaunti kama matakwa yao makuu watakyowaslisha kwenye vikao hivyo.

kiico
Previous articleBusiness Weekly: State employees get 7-10 per cent salary raise
Next articleKoyonzo retain National Rugby Sevens title