Matukio ya Taifa: Walimu kutoka kaskazini mashariki wadai kuhamishwa

KBC Digital
0 Min Read
TSC CEO Nancy Macharia. PHOTO/Courtesy

Baadhi ya walimu katika shule za kaskazini mashariki wapiga kambi nje ya afisi za TSC wakidai kuhamishwa; Zaidi ya Wakenya elfu 350 walijiandikisha kupata worldcoin chini ya wiki moja wakati kampuni hiyo ilipokuwa ikiendeleza shughuli zake nchini; na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu HELB Charles Ringera atetea mfumo mpya wa ufadhili wa vyuo vikuu.

- Advertisement -
kbcplus.co.ke #worldcupikokbc
Share This Article