Home Podcasts Matukio ya Taifa: Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka ya Umma mteule Renson igonga...

Matukio ya Taifa: Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka ya Umma mteule Renson igonga kufuata kanuni za utumishi wa umma

Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka ya Umma mteule Renson Mulele igonga aahidi kuzingatia Maadili na kanuni za utumishi wa umma; Serikali yahimizwa kuidhinisha mswada wa mwaka wa 2022 wa haki za walio na ulemavu chini ya sheria za kimataifa za umoja wa mataifa; na mpango wa kujengwa kwa vituo elfu 25 vya mitandao almaarufu wifi waendelea kushika kasi.

kiico
Previous articleCrackdown on immigration offices to be extended to counties
Next articleGabon coup leaders name new leader