Home Podcasts Matukio ya Taifa: World Coin ilivunja sheria ya Kenya

Matukio ya Taifa: World Coin ilivunja sheria ya Kenya

Kampuni ya sarafu ya ulimwengu ilikiuka sheria za usajii wa data na washukiwa wa mradi huo watakailiwa kisheria. Hayo ni kulingana na waziri wa usalam wa ndani Kithure Kindiki na mwezake wa mawasiliano, teknolojia na uchumi wa kidijitali Eliud Owalo, walipofika mbele ya bunge kujieleza.

kiico
Previous articleNewsline: World Coin contravened data laws of Kenya, says CS Kithure Kindiki and CS Eliud Owalo
Next articleEcuador presidential candidate shot dead at rally