Matukio ya Taifa: Wito watolewa kwa serikali na upinzani kukomesha tofauti zao

KBC Digital
0 Min Read

Wito umetolewa kwa uongozi wa serikali ya kenya kwanza na muungano wa Azimio la Umoja One Kenya kuzungumza ili kukomesha tofauti zao za kisiasa zinazochangia maandamano nchini.

- Advertisement -
kbcplus.co.ke #worldcupikokbc
Share This Article