Home Podcasts Matukio ya Taifa: Raila Odinga amezitaka serikali za kaunti kushirikiana na serikali...

Matukio ya Taifa: Raila Odinga amezitaka serikali za kaunti kushirikiana na serikali kuu

0

Kinara wa Azimio One Kenya Raila Odinga amezitaka serikali za kaunti kushirikiana na serikali kuu ili kuafikia malengo ya ugatuzi; Raila amesema ugatuzi umechangia pakubwa ukuaji wa taifa, Pamoja na kuinua uchumi wa gatuzi humu nchini; and Visa vya watoto wachanga kuendelea kudhulumiwa kimapenzi na jamaa wao wa karibu vinaendelea kuongezek Kaunti ya Busia.